S sabufa Member Joined Apr 21, 2013 Posts 26 Reaction score 4 Jan 7, 2015 #1 Baada ya kuondoa channel za ubc na kbc mwaka 2013 hatukuona live AFCO katika startimes.Je mwaka huu tutaona?.Au tuhame?
Baada ya kuondoa channel za ubc na kbc mwaka 2013 hatukuona live AFCO katika startimes.Je mwaka huu tutaona?.Au tuhame?
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,896 Reaction score 5,258 Jan 7, 2015 #2 Bado uko nao hao wachina?
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Jan 7, 2015 #3 Hata Mimi bado nipo nao,ngoja tuwasubili watupe majibu!,maana TBC washajichokea...
M Musa Nyambo Senior Member Joined Aug 27, 2013 Posts 170 Reaction score 23 Jan 7, 2015 #4 mi nami bado niko nao ni majanga