GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,168
Wanajesh wanampigia salut mwizi?Mpwaa kila binadamu chini ya jua anaumuhimu wake ,ungekwenda tu kwenye sherehe yake ya mwisho na ndio maana hata wanajeshi wakikutana na jeneza lake humpigia saluti ,huna mamlaka ya kumuhukumu hiyo nikazi yake Mungu.
Wanajesh wanampigia salut mwizi?
Ndugu GENTAMYCINE hapo ndio utajua haijarishi mtu alikuwa na ubaya wa namna gani
ipo siku watu watatamani wangeendelea kumuona,
Huwa inashangaza sana kwakweli lakini tuseme tu huo ndio unaoitwa ubinaadamu, Ukiishakuwa na utu ni jambo la halina kizuzi mwili utakubaliana tu na mapokeo ya nje.
Ndio maana unaweza fika mahali mazishi ya mtu usiyemjua na bado ukatokwa na machozi
hoja ya kitoto kweli
staki ban punguza jeuri na lugha za hovyo!!Na ukiwa ni ' Mpumbavu ' Mwandamizi kama ulivyo ni lazima tu utaiona ni ya Kitoto. Na kama kumbe ulishajua ni ya Kitoto ulichoifungua na Kuisoma hadi Kuielewa na Kuijibu ni nini? Hoja za Kikubwa kama Pua lako hilo Kubwa hukuziona hapa? Swine!
hovyo kabsaNahisi 99% ya Members walionijibu hapa wanaweza wakawa ama Maaskofu au Masheikh kwani sijaona hata Mmoja mwenye Roho Ngumu akiniunga mkono Maamuzi yangu ya Kutohudhuria Msiba wa Marehemu Kibaka.
hovyo kabsaPumbavu.
hovyo kabsa