Kuhudhuria Msiba wa Kibaka ' Maarufu ' Mtaani ni Kujitafutia Thawabu au Laana zaidi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?

As an imperfect human being, you gotta extend an unconditional forgiveness. Omboleza kama kawaida.

Binadamu wote, ukiwemo wewe na mimi, ni watenda dhambi. Unfortunately, kwa Mungu, dhambi ni dhambi; hakuna dhambi kubwa na dhambi ndogo. Kwa hiyo, kwa Mungu wewe na huyo kibaka mzoefu ngoma draw unless wewe mwenzetu ni binadamu mkamilifu!
Kuna Dhambi kubwa na Dhambi Ndogo

Dhambi ya Mauti na Isiyo ya Mauti.. Biblical
 
Kuna Kijana Mmoja ambaye nadhani kama kungekuwa na Shindano la Kutafuta Vibaka Bora Tanzania nzima nina uhakika kila mara angeibuka Mshindi ila baada ya Sisi Kaka zake na Wanajamii kila mara Kumuasa na Kumuonya aachane na hiyo tabia mbaya ( japo na Sisi pia alikuwa akituibia ) hakutaka Kutusikia na hatimaye Jioni hii alienda Kuiba mahala na wamemuua.

Cha Kunishangaza kabisa wakati Mimi nikikataa kabisa kwenda Msibani Kwao kwakuwa sijaona na sioni Tija yoyote ile ya Kuhudhuria Msiba wake huyo Kibaka mzoefu kuna Watu kadhaa ambao hata Wao walishaibiwa nae mno Vitu vyao vya Thamani tu nimewaona Machozi yakiwatoka na wakisikitika Kuuwawa Kwake na wengine hivi sasa wanaenda Msibani Nyumbani Kwao.

Kama kawaida hakuna mahala ambapo huwa napaamini kuwa huwa pananijenga na nikiri pamesababisha uwezo wangu wa Kufikiri kuwa mkubwa kama Kukutana na ' Intelligent Members ' wa JamiiForums kwa Michango yao mbalimbali yenye Mantiki na Tija wameweza Kuimarisha sana Ubongo wangu hivyo naamini na hapa pia nitapata Hekima na Busara zao.

Je kati ya Mimi GENTAMYCINE niliyegoma na kuapa kabisa kuwa sitohudhuria Msiba wa huyo Kibaka Mzoefu aliyeuwawa Jioni hii na wale Wenzangu ( wana Jamii ) ambao nao pia ni Wahanga wa Kuibiwa nae wameamua hivyo hivyo wanaenda Msibani Kwao Kiimani na Kihaki kabisa nani ambaye Maamuzi yake yatakuwa na Thawabu au Laana kwa Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Si afadhali mwenzio mwizi kafa kiume na kwa matofali kuliko wewe utakaekufa kwenye madanguro ukijinadi
 
Aliyekufa amekufa tu mzee awe kibaka, mcha mungu, mzinifu wote tunakufa na wewe mkuu genta utakufa sidhani kam utapenda siku umetangulia mje mtu akuandikie uzi hapa kama hivi!

wewe nenda kazike kiroho safi akuna aliye mkamilifu hapa duniani kila mtu anaondoka na yake
huyu kima kila akileta uzi lazima uzi wake uzue tafrani
 
ukishamaliza kufanyiwa uchunguzi wa nini kilichosababisha kifo chako uende msibani ukisharudi nasi ndio tutakufanyia mazishi wewe pia tutawauliza memba humu kama waje kwenye mazishi yako au wasije maana marehemu wewe unasumbua sana watu humu kwa dharau na majivuno yako marehemu Gendermysins
 
Kumbuka aliekufa ni binadamu na mwisho wake umeakwisha.. Mapungufu yake unatakiwa uyaweke kando Mungu pekee mdie alie muumba na ndie atakae muhukumu. Nenda kamsindikize kwenye safari yake ya mwisho.
 
Uende usiende haipunguzi wala kuongeza chochote, jambo jema ni kumuombea kwa Mola amsamehe makosa yake, lakini kwanza wewe usamehe yale yote aliyokukwaza kipindi cha uhai wake.sisi sote niwakosefu na mtu huenda kwenye msiba anaohisi unamhusu.
 
Kuna Kijana Mmoja ambaye nadhani kama kungekuwa na Shindano la Kutafuta Vibaka Bora Tanzania nzima nina uhakika kila mara angeibuka Mshindi ila baada ya Sisi Kaka zake na Wanajamii kila mara Kumuasa na Kumuonya aachane na hiyo tabia mbaya ( japo na Sisi pia alikuwa akituibia ) hakutaka Kutusikia na hatimaye Jioni hii alienda Kuiba mahala na wamemuua.

Cha Kunishangaza kabisa wakati Mimi nikikataa kabisa kwenda Msibani Kwao kwakuwa sijaona na sioni Tija yoyote ile ya Kuhudhuria Msiba wake huyo Kibaka mzoefu kuna Watu kadhaa ambao hata Wao walishaibiwa nae mno Vitu vyao vya Thamani tu nimewaona Machozi yakiwatoka na wakisikitika Kuuwawa Kwake na wengine hivi sasa wanaenda Msibani Nyumbani Kwao.

Kama kawaida hakuna mahala ambapo huwa napaamini kuwa huwa pananijenga na nikiri pamesababisha uwezo wangu wa Kufikiri kuwa mkubwa kama Kukutana na ' Intelligent Members ' wa JamiiForums kwa Michango yao mbalimbali yenye Mantiki na Tija wameweza Kuimarisha sana Ubongo wangu hivyo naamini na hapa pia nitapata Hekima na Busara zao.

Je kati ya Mimi GENTAMYCINE niliyegoma na kuapa kabisa kuwa sitohudhuria Msiba wa huyo Kibaka Mzoefu aliyeuwawa Jioni hii na wale Wenzangu ( wana Jamii ) ambao nao pia ni Wahanga wa Kuibiwa nae wameamua hivyo hivyo wanaenda Msibani Kwao Kiimani na Kihaki kabisa nani ambaye Maamuzi yake yatakuwa na Thawabu au Laana kwa Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Kesho jioni hapo utakuwa na wageni lazima utaibiwa.
Sometime ni kutengeneza urafiki na wabaya.
 
Kuhudhuria msiba wa mtu yoyote haijaalishi, mi naamini ni kupata thawabu, maana nijuavyo mimi, Maiti yeyote mtaani ikikaa bila kuzikwa basi dhambi mnapata wote mtaani na ikizikwa mnapata dhawabu kwa maana kwenye Uislam kuna Fardhi za aina mbili
1. Fardhi kifaya
2. Fardhi aiyn
 
Kuna Kijana Mmoja ambaye nadhani kama kungekuwa na Shindano la Kutafuta Vibaka Bora Tanzania nzima nina uhakika kila mara angeibuka Mshindi ila baada ya Sisi Kaka zake na Wanajamii kila mara Kumuasa na Kumuonya aachane na hiyo tabia mbaya ( japo na Sisi pia alikuwa akituibia ) hakutaka Kutusikia na hatimaye Jioni hii alienda Kuiba mahala na wamemuua.

Cha Kunishangaza kabisa wakati Mimi nikikataa kabisa kwenda Msibani Kwao kwakuwa sijaona na sioni Tija yoyote ile ya Kuhudhuria Msiba wake huyo Kibaka mzoefu kuna Watu kadhaa ambao hata Wao walishaibiwa nae mno Vitu vyao vya Thamani tu nimewaona Machozi yakiwatoka na wakisikitika Kuuwawa Kwake na wengine hivi sasa wanaenda Msibani Nyumbani Kwao.

Kama kawaida hakuna mahala ambapo huwa napaamini kuwa huwa pananijenga na nikiri pamesababisha uwezo wangu wa Kufikiri kuwa mkubwa kama Kukutana na ' Intelligent Members ' wa JamiiForums kwa Michango yao mbalimbali yenye Mantiki na Tija wameweza Kuimarisha sana Ubongo wangu hivyo naamini na hapa pia nitapata Hekima na Busara zao.

Je kati ya Mimi GENTAMYCINE niliyegoma na kuapa kabisa kuwa sitohudhuria Msiba wa huyo Kibaka Mzoefu aliyeuwawa Jioni hii na wale Wenzangu ( wana Jamii ) ambao nao pia ni Wahanga wa Kuibiwa nae wameamua hivyo hivyo wanaenda Msibani Kwao Kiimani na Kihaki kabisa nani ambaye Maamuzi yake yatakuwa na Thawabu au Laana kwa Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Juzi tu umeandika kuwa wewe ni matawi ya twiga. Kwa maisha yako vibaka unakutana nao wapi tena?
 
Na ukiwa ni ' Mpumbavu ' Mwandamizi kama ulivyo ni lazima tu utaiona ni ya Kitoto. Na kama kumbe ulishajua ni ya Kitoto ulichoifungua na Kuisoma hadi Kuielewa na Kuijibu ni nini? Hoja za Kikubwa kama Pua lako hilo Kubwa hukuziona hapa? Swine!
Ulivo kuja kwa upole na uzi wako nkajua umeacha matusi. Kumbe paka hawezi acha kula samaki.
 
Kwa nature ya maisha yalivyo tu bila unafiki maisha yanakua hayaendi kabisa
 
Back
Top Bottom