Kuhudhuria Msiba wa Kibaka ' Maarufu ' Mtaani ni Kujitafutia Thawabu au Laana zaidi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?

Kuna Kijana Mmoja ambaye nadhani kama kungekuwa na Shindano la Kutafuta Vibaka Bora Tanzania nzima nina uhakika kila mara angeibuka Mshindi ila baada ya Sisi Kaka zake na Wanajamii kila mara Kumuasa na Kumuonya aachane na hiyo tabia mbaya ( japo na Sisi pia alikuwa akituibia ) hakutaka Kutusikia na hatimaye Jioni hii alienda Kuiba mahala na wamemuua.

Cha Kunishangaza kabisa wakati Mimi nikikataa kabisa kwenda Msibani Kwao kwakuwa sijaona na sioni Tija yoyote ile ya Kuhudhuria Msiba wake huyo Kibaka mzoefu kuna Watu kadhaa ambao hata Wao walishaibiwa nae mno Vitu vyao vya Thamani tu nimewaona Machozi yakiwatoka na wakisikitika Kuuwawa Kwake na wengine hivi sasa wanaenda Msibani Nyumbani Kwao.

Kama kawaida hakuna mahala ambapo huwa napaamini kuwa huwa pananijenga na nikiri pamesababisha uwezo wangu wa Kufikiri kuwa mkubwa kama Kukutana na ' Intelligent Members ' wa JamiiForums kwa Michango yao mbalimbali yenye Mantiki na Tija wameweza Kuimarisha sana Ubongo wangu hivyo naamini na hapa pia nitapata Hekima na Busara zao.

Je kati ya Mimi GENTAMYCINE niliyegoma na kuapa kabisa kuwa sitohudhuria Msiba wa huyo Kibaka Mzoefu aliyeuwawa Jioni hii na wale Wenzangu ( wana Jamii ) ambao nao pia ni Wahanga wa Kuibiwa nae wameamua hivyo hivyo wanaenda Msibani Kwao Kiimani na Kihaki kabisa nani ambaye Maamuzi yake yatakuwa na Thawabu au Laana kwa Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Kumbuka kwenda msibani huendi kwa ajili ya aliyekufa (marehemu) tu bali pia unaenda kwa ajili ya kujumuika na wafiwa kwa kufiwa na mpendwa wao.

Nadhani kwa umri uliyonao umewahi kuhudhuria msiba wa marehemu usiyemjua lakini ukahudhuria kwa sababu ndugu/rafiki wa marehemu huyo mnajuana au kwa sababu msiba wa marehemu huyo usiyemjua uko mtaani kwako. Hivyo kwa huyo kibaka unaweza kuhudhuria msiba kwa sababu hizo.
 
mtu ambaye siwezi kuhudhulia msiba wake ni mwanaume aliyekuwa akipumuliwa enzi za uhai wake.
Kwa mungu hakuna dhambi kubwa wala ndogo. Hata huyo hudhuria lkn toa wosia wako kuonyesha unachukizwa na tendo hilo la kijinga na ambalo vitabu vitakatifu vyote vya Mungu vimelipinga.
 
Kubwa jinga wewe. Unawezaje kumwita mwenzio mpumbavu mwandamizi?

Au kakuzingua kwenye ile biashara inayosemekana unafanya?

Natamani ungebadilika ukapunguza matusi we nguruwe.

Hiyo Biashara labda anafanya ' Babaako ' Mzazi na Yeye aliyesema. Halafu si alisema kuwa ana Ushahidi wa hadi PM na Meseji zangu na nikamruhusu aziweke hapa Hadharani je unaweza labda ukamuuliza huyo Mpumbavu Mwandamizi Mwenzio ni kwanini hajaweka Hadharani? Mtahangaika mno na sana na Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ila hamtoniweza wala hamtoninyamazisha na kadri mnavyozidi Kunifuatafuata ndiyo Kwanza mnazidisha ' Umaarufu ' wangu wa Kutukuka hapa Jamvini.
 
Je kati ya Mimi GENTAMYCINE niliyegoma na kuapa kabisa kuwa sitohudhuria Msiba wa huyo Kibaka Mzoefu aliyeuwawa Jioni hii na wale Wenzangu ( wana Jamii ) ambao nao pia ni Wahanga wa Kuibiwa nae wameamua hivyo hivyo wanaenda Msibani Kwao Kiimani na Kihaki kabisa nani ambaye Maamuzi yake yatakuwa na Thawabu au Laana kwa Mwenyezi Mungu?
Kila nafsi iliyoumbwa na Mungu inathamani, ni vibaya kuona mtu amekufa hali akiwa katika ubaya wake. Ila pia kama watu wanaweza kumpiga kibaka hadi akafa kisa wamewahi kuibiwa, watu hao kutoudhuria msiba sio kitu cha kushangaza. Tuweke UBINADAMU mbele.
 
Kuna Dhambi kubwa na Dhambi Ndogo

Dhambi ya Mauti na Isiyo ya Mauti.. Biblical

This is hardly Biblical; it’s essentially the manly work of the Roman Catholic Church!

Deep down, with the exception of the unpardonable sin of unbelief, no sin is greater than another sin in the eternal sense, because they’re equally pardonable. All sin separates us from God, and all sin needs to be atoned for. There is no “greatest sin” in the sense of “mortal” and “venial” sins, as the Catholic Church teaches. All sins are “mortal” sins in that even one sin makes the offender worthy of spiritual death and eternal separation from God. At the same time, the Bible does state that on the day of judgment some sins will merit greater punishment than others (Matthew 11:22, 24; Luke 10:12, 14).

Admittedly, Jesus referred to one sin being a “greater” sin (although not the “greatest”) in John 19:11. Speaking to Pontius Pilate, He said that the one who had handed Him over to Pilate was guilty of the “greater sin.” He meant that the guilt of the person who delivered Him to Pilate, whether Judas or Caiaphas, was greater than Pilate’s because of the deliberate and cold act of handing Jesus over after seeing the overwhelming evidence of His miracles and teaching, all pointing unmistakably to Him as the Messiah and the Son of God. That sin was greater than that of those who were ignorant of Him. This could indicate that those who have been given knowledge of Jesus as the Son of God and still reject Him would be subject to a greater punishment than those who remain ignorant of Him: "If you were blind, you would not be guilty of sin; but now that you claim you can see, your guilt remains” (John 9:41).

These incidents, however, do not prove that one sin is the “greatest sin” of all. Proverbs 6:16–19 is a catalog of the seven sins God hates and are detestable to Him: “Haughty eyes, a lying tongue, hands that shed innocent blood, a heart that devises wicked schemes, feet that are quick to rush into evil, a false witness who pours out lies and a man who stirs up dissension among brothers.” But none of the seven are identified as a greater sin than any of the others, and none are identified as the greatest sin.

Although the Bible doesn’t name any one sin as the greatest sin, it does refer to the unpardonable sin, which is the sin of unbelief. There is no pardon for a person who dies in unbelief. The Bible is clear that, in His love for mankind, God provided the means of eternal salvation—Jesus Christ and His death on the cross—for “whoever believes in Him” (John 3:16). The only condition under which forgiveness would not be granted concerns those who reject the only means of salvation. Jesus said, “I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me” (John 14:6), making it clear that He and He alone is the path to God and salvation. To reject the only means of salvation is unpardonable and, in that sense, is the greatest sin of all.
 
Kuna Kijana Mmoja ambaye nadhani kama kungekuwa na Shindano la Kutafuta Vibaka Bora Tanzania nzima nina uhakika kila mara angeibuka Mshindi ila baada ya Sisi Kaka zake na Wanajamii kila mara Kumuasa na Kumuonya aachane na hiyo tabia mbaya ( japo na Sisi pia alikuwa akituibia ) hakutaka Kutusikia na hatimaye Jioni hii alienda Kuiba mahala na wamemuua.

Cha Kunishangaza kabisa wakati Mimi nikikataa kabisa kwenda Msibani Kwao kwakuwa sijaona na sioni Tija yoyote ile ya Kuhudhuria Msiba wake huyo Kibaka mzoefu kuna Watu kadhaa ambao hata Wao walishaibiwa nae mno Vitu vyao vya Thamani tu nimewaona Machozi yakiwatoka na wakisikitika Kuuwawa Kwake na wengine hivi sasa wanaenda Msibani Nyumbani Kwao.

Kama kawaida hakuna mahala ambapo huwa napaamini kuwa huwa pananijenga na nikiri pamesababisha uwezo wangu wa Kufikiri kuwa mkubwa kama Kukutana na ' Intelligent Members ' wa JamiiForums kwa Michango yao mbalimbali yenye Mantiki na Tija wameweza Kuimarisha sana Ubongo wangu hivyo naamini na hapa pia nitapata Hekima na Busara zao.

Je kati ya Mimi GENTAMYCINE niliyegoma na kuapa kabisa kuwa sitohudhuria Msiba wa huyo Kibaka Mzoefu aliyeuwawa Jioni hii na wale Wenzangu ( wana Jamii ) ambao nao pia ni Wahanga wa Kuibiwa nae wameamua hivyo hivyo wanaenda Msibani Kwao Kiimani na Kihaki kabisa nani ambaye Maamuzi yake yatakuwa na Thawabu au Laana kwa Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Huwezi kupata laana kwa kutoenda msibani au thawabu kwa kuenda msibani.Unaweza kwenda msibani ukarudi ukakuta kwako kumeibiwa ukasononeka hadi ukakufuru.
Ulijibebea thawabu zako nyingi pale ulipomshauri akajitia ujuaji sasa katimiza usemi tusemao asiyesikia la mkuu...........,Za mwizi.............Mchuma janga hula na wakwao,Ndege mjanja.............na nyinginezo nyingi.
 
Mpaka muda huu naona Mzani umeniangukia Mimi na Members wengi wenye Imani Kali wamenishauri niende tu. Sawa nimewasikieni ngoja Mvua hii iishe / isimame kidogo nitaenda japo nikiri tu wazi hapa hapa kuwa naenda kwakuwa tu nyie mmenitisha hapa na maneno ya Kiimani ila Kimoyomoyo sikutaka kabisa kwenda kwani hata Mimi Marehemu Kibaka alinikosakosa katika Uchochoro mmoja hivi Kitaani Mwezi sasa umepita.

Cc: torvic , ZEE LA HEKIMA , STRUGGLE MAN na dagii
Ukienda uwe makini pale watajaa wenzake wengi na hawachagui wapi wafanyie show maana akili zao wanazijua wenyewe.
 
This is hardly Biblical; it’s essentially the manly work of the Roman Catholic Church!

Deep down, with the exception of the unpardonable sin of unbelief, no sin is greater than another sin in the eternal sense, because they’re equally pardonable. All sin separates us from God, and all sin needs to be atoned for. There is no “greatest sin” in the sense of “mortal” and “venial” sins, as the Catholic Church teaches. All sins are “mortal” sins in that even one sin makes the offender worthy of spiritual death and eternal separation from God. At the same time, the Bible does state that on the day of judgment some sins will merit greater punishment than others (Matthew 11:22, 24; Luke 10:12, 14).

Admittedly, Jesus referred to one sin being a “greater” sin (although not the “greatest”) in John 19:11. Speaking to Pontius Pilate, He said that the one who had handed Him over to Pilate was guilty of the “greater sin.” He meant that the guilt of the person who delivered Him to Pilate, whether Judas or Caiaphas, was greater than Pilate’s because of the deliberate and cold act of handing Jesus over after seeing the overwhelming evidence of His miracles and teaching, all pointing unmistakably to Him as the Messiah and the Son of God. That sin was greater than that of those who were ignorant of Him. This could indicate that those who have been given knowledge of Jesus as the Son of God and still reject Him would be subject to a greater punishment than those who remain ignorant of Him: "If you were blind, you would not be guilty of sin; but now that you claim you can see, your guilt remains” (John 9:41).

These incidents, however, do not prove that one sin is the “greatest sin” of all. Proverbs 6:16–19 is a catalog of the seven sins God hates and are detestable to Him: “Haughty eyes, a lying tongue, hands that shed innocent blood, a heart that devises wicked schemes, feet that are quick to rush into evil, a false witness who pours out lies and a man who stirs up dissension among brothers.” But none of the seven are identified as a greater sin than any of the others, and none are identified as the greatest sin.

Although the Bible doesn’t name any one sin as the greatest sin, it does refer to the unpardonable sin, which is the sin of unbelief. There is no pardon for a person who dies in unbelief. The Bible is clear that, in His love for mankind, God provided the means of eternal salvation—Jesus Christ and His death on the cross—for “whoever believes in Him” (John 3:16). The only condition under which forgiveness would not be granted concerns those who reject the only means of salvation. Jesus said, “I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me” (John 14:6), making it clear that He and He alone is the path to God and salvation. To reject the only means of salvation is unpardonable and, in that sense, is the greatest sin of all.
Kindly read the First Letter of John Chapter 5 Verse 16 and 17. Catholics reads the whole Bible and not some interesting passages!
 
1 John 5: 16-17 should equally be read in conjunction with the rest of the Bible!

The balance you find in 1 John 5: 16-17, in the context of the larger theme of 1 John, is that if you truly confess your sin (any sin for that matter) and repent from it, you surely will be forgiven. “If we confess our sins, He is faithful and just to forgive us our sins and to cleanse us from all unrighteousness” (1 John 1:9).

Can you name a sin that leads to eternal death and damnation, even if truly confessed and repented from?
 
Just understand that sins are at different levels and so is the punishment..
 
Mkuu, poleni kwa kumpoteza jirani.
Hudhuria tu kwenye msiba kwa ajili ya kumsitiri, kwakuwa alikuwa mwanajamii mwenzenu.

Natumai kwa msiba huo simulizi kubwa itakuwa vituko vya marehemu enzi ya uhai wake. Kama ibada ya mazishi itaendeshwa Kikristo, nenda katoe heshima za mwisho ili uhakikishe kama kweli ni yeye aliyefariki.

Usisahau kutujuza yaliyojiri
 
Back
Top Bottom