Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,124
mkuu tafadhali nitafsirie hapa sijaelewa.Na je huko anakoenda hua ana harikwa au ?
Kiswahili kigumu jomba nimezoea kilugha[emoji12][emoji12][emoji12]mkuu tafadhali nitafsirie hapa sijaelewa.
Je ni kwa gharama za nani?Umuhimu wa kusafr unakuja kwenye ku close deals
Manepari na mashirika makubwa wasingependab kufanya final deal na subordinate wangependa zaidi kuongea na muhusika ili kupata uhakika wa Uwekezaji au fedha wanazotoa
Nimeona kwenye mikataba ya fedha nying wakuu wa taasisi hizo huwepo hivyo ni jambo muhimu na lenye uzito kabla mwekezaji hajajua kuleta fedha zake kuonana na Mkuu wa nchi pia inampa assurance
Pesa alikuwa anatoa wapi?Mwache Mama airudishe Tz kimataifa, yule mzee unayefikiri wewe kwamba alikuwa hasafiri ili kubana matumizi ndiye aliyelifikisha deni la serikali kwenye Trilion 78, huku akitekeleza miradi ya wizara moja tu kati ya 27!
Tukaambiwa serikali inajenga miradi kwa fedha za ndani wakati kila uchao waziri wetu alikuwa anafuatia mikopo!
Mbona hukuhoji misafara mikubwa hadi ya kusindikizwa na helikopta, gharama zake zilikuwa ngapi? Au ni leo ndo umekuwa mwananchi wa Tz?
Mwacheni mama arudishe mahusiano yetu na dunia kwani hatuwezi kuishi kama kijiji!
Sawa sijapinga ila safari zimezidi huku nchi hali ya maisha ikiwa teteNi kwa gharama za kodi yako ndiyo, na nchi zote duniani ndivyo zinavyofanya. kuna faida na hasara, huwezi kuogopa hasara wakati kuna uwezekano wa kupata faida. tafakari.
Yeye ndiye muidhinishaji mkuu wa fedha zote za serikali, alafu unauliza alikuwa anatoa wapi fedha!!!???Pesa alikuwa anatoa wapi?
uzuri wake sijakosea mtu labda mwenye hiy picha aje anilalamikieHiyo picha ya nini? ukikua utajutia ushamba wako wa zamani.
mkuu mie sijauliza kiswahili, nimeliza tafsiriKiswahili kigumu jomba nimezoea kilugha[emoji12][emoji12][emoji12]
Mkuu mbona umenikazia sana [emoji6][emoji6]mkuu mie sijauliza kiswahili, nimeliza tafsiri
Shida sio kusafiri shida hizo gharama za safari pesa inatoka wapi? Mimi sijapinga kusafiri kwakeHayati JPM aliwahi kusifia safari za JK nje ya nchi kwamba zinaleta maendeleo nchini hivyo aendelee kusafiri sana tu wenye wivu wajinyonge.
mkuu kwani hujawahi kubet wewe? Kutoa milioni kadhaa za safari ili ukapate trilioni kadhaa wewe unaona ni hasara?Shida sio kusafiri shida hizo gharama za safari pesa inatoka wapi? Mimi sijapinga kusafiri kwake
[emoji106][emoji106][emoji106]mkuu kwani hujawahi kubet wewe? Kutoa milioni kadhaa za safari ili ukapate trilioni kadhaa wewe unaona ni hasara?