Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Wakuu, Waislam wamesheherekea sikukuu ya IDD juzi na wengine jana.
Sasa nauliza, kwakuwa mji wa Mecca ulikutanisha binadamu zaidi ya Milioni Mbili kutoka mataifa mbali mbali, je ni faida zipi za kiuchumi watazipata wananchi wa Saudi Arabia kutokana na mamilioni ya wahujaji kwenda huko?
Kuna mawakala wa kuwasafirisha watu kutoka Tanzania kwenda Mecca. Nao wanafaidikaje kiuchumi?
Je, ukienda kuhiji, unaruhusiwa kuingia mtaani kufanya japo shopping ya kanzu?
Maswali mengine yanakuja....