Kuharibika kwa nyumba

senkoP

Senior Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
180
Reaction score
207
Jamani wandugu hivi ni kwanini unaweza kujenga nyumba ya kuishi ikawa iko tayari kwa matumizi au nyumba ulikuwa unaishi halafu ukaondoka kwa muda mrefu bila mtu kuishi kwenye ile nyumba huwa ina haribika ??

Kuna sayansi gani hapo ?? Kuna ofisi tumejenga ikaisha ila hatujahamia humo kwasababu kuna vitu havija kamilika cha ajabu lile jengo limeanza kuharibika mwaka wa 3 huu hatujahamia ......sijajua leteni sababu wandugu
 
Mtu akiwepo anafanya fanya usafi ili kutunza mazingira
 
Usafi ndo unafanya nyumba inakuwa imara kulimo ambayo haifanyiwi usafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…