Kuhamisha pesa kutoka M-Pesa - CRDB

Kuhamisha pesa kutoka M-Pesa - CRDB

Kuna tofauti ya kumpotosha mtu na kumwambia ukweli. Fedha ikashatoka kwenye muamala wa MPesa kwenda kwa ajili ya malipo akaunti ya benki mlolongo wale wa kuipata ni headache, transaction ya kuirudisha kwenye account yako ni ngumu mno. Si rahisi kihivyo unavyosema. Kuna jamaa yangu alilipa hivyo hivyo kutoka Mpesa kwemda NMB laki saba, ilikuwa Julai 2019, leo ni Machi 6, 2020 bado anahangaikia kuipata hiyo fedha. Usimpotoshe, Mpesa wenyewe wanakuambia hawama access ya kuirudisha muamala uliofanya malipo kwenye account ya benki. That's it.
Huwezi kuipata pesa uliyoituma kwa makosa kama utaendelea kufikiria kuwa ikiishatumwa hairudishwi!. Huyo anayekuaminisha hivyo ni mpigaji ambaye anatumia kutokujua kwako kujiingizia kipato kifisadi. Nikuhakikishie kuwa jamaa ataipata pesa yake au itaelekezwa kule inakotakiwa kwenda. Kumbuka siku hizi kuna watu wa IT katika kila idara na hizi changamoto za mtandao ndio zao.
 
Back
Top Bottom