G_Carson
Member
- Dec 23, 2017
- 15
- 13
Habari nilitakiwa nilipe TRA kupitia account yao ya CRDB, Kwa Bahati mbaya nikatuma direct kupitia simu yangu,na kumbe nilitakiwa nikalipe moja kwa moja CRDB BANK.
Niliporudi kwa watu wa TRA wakanambia hiyoo hela uliyolipa kupitia simu yako ya mkononi direct ndio imeshapotea hiyoo,,kalipe bank hela nyingine.
Msaada,
Hivi hiyo ni sahihi kweli? Kwamba ukikosea hela ikaenda TRA kwa makosa,hyo pesa hairudi tena na kama hairudi ni haki kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app