kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,176
- 1,721
WanaJF nisaidieni juu ya mtumishi ambaye anafanya kazi serikalini, mfano Halmashauri, na alikuwa anachangia MAFAO yake let's say LAPF.
Sasa kijana huyu kapata kazi mpyaaa PSPF, NSSF au GEPF Je, ataweza kuhama na MAFAO yake? Ukizingatia ajira aliyoipata ni moja ya mifuko ikusanyayo MAFAO ya uzeeni?
Nisaidieni ndugu zangu
Sasa kijana huyu kapata kazi mpyaaa PSPF, NSSF au GEPF Je, ataweza kuhama na MAFAO yake? Ukizingatia ajira aliyoipata ni moja ya mifuko ikusanyayo MAFAO ya uzeeni?
Nisaidieni ndugu zangu