Kuhamisha hela Benki inachukua muda gani?

Kuhamisha hela Benki inachukua muda gani?

Walter Rodney

Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
8
Reaction score
2
Samahani kuwa nje,

Nauliza hivi kuhamisha hela benki CRDB kutoka akaunti moja kwenda akaunti nyingine( mtu alipata overpayment) hivi inaweza chukua muda gani?

Anayejua🙏🏿🙏🏿
 
Overpayment ndio nini? Uzi wako umeuweka toka jana lakini hakuna response hata moja kwa sababu umeandika as if tunajua kilichotokea. Fafanua ueleweke.
 
Back
Top Bottom