Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Oct 31, 2016 #1 Wadau ninaomba kuuliza nikiroot Simu yangy je!ninaweza kuhamisha app ambazo kabla ya hapo zilikua hazihamishiki kwenda kwenye memory card na je! hakuna madhara yoyote!
Wadau ninaomba kuuliza nikiroot Simu yangy je!ninaweza kuhamisha app ambazo kabla ya hapo zilikua hazihamishiki kwenda kwenye memory card na je! hakuna madhara yoyote!
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Oct 31, 2016 Thread starter #2 Sawa sasa hakuna madhara yoyote