abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
Mkuu rejea kauli ya General Ulimwengu...........
Habari za Jioni wakuu!
Hivi ile track ya The Dream team Kuhamia makao makuu ya Bendi (KWENYE ZABIBU) production ilikwishaisha ama vipi?
Maana sijasikia uzinduzi wake na muda unatutupa mkono... Wafanye hima basi walau tuweze kupata parking za karibu na vijiweni mwetu.
Kwani ratiba ilikuwajeHakuna atakayehamia Dodoma, zile zilikuwa siasa tu na wawekezaji wasiotumia historia katika maamuzi yao walikimbizana Dodoma kununua ardhi na nyumba...sasa haviuziki. PM alisakiziwa aende huko akajikuta akifanya kazi za mkuu wa mkoa, akaona isiwe shida sasa anafanya ziara mikoani kusaka faru. Tumeharibikiwa sio kidogo!
Kuna mtu aliahidi atahamia ndani ya Mwezi mmoja so tunasubiri ahamie yy ndio tufuate I love Tanzania [emoji23][emoji23]Habari za Jioni wakuu!