M Martin Mollel Member Joined Feb 24, 2009 Posts 43 Reaction score 3 Apr 10, 2011 #1 je kuhamahama toka chama kimoja kwenda kingine ni kutafuta maslahi, kuwatetea wanyonge au uzumbukuku?
je kuhamahama toka chama kimoja kwenda kingine ni kutafuta maslahi, kuwatetea wanyonge au uzumbukuku?
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Apr 10, 2011 #2 Maslahi mbele..wale jamaa CDM ilishawamulika mapema ndo maana wakagwaya,shitambala aliuza ubunge! Yule kayuni katamka wazi alexpect kupata ruzuku.....wanahamia jumba bovu.pole yao
Maslahi mbele..wale jamaa CDM ilishawamulika mapema ndo maana wakagwaya,shitambala aliuza ubunge! Yule kayuni katamka wazi alexpect kupata ruzuku.....wanahamia jumba bovu.pole yao