B badface_kay Member Joined Mar 4, 2017 Posts 18 Reaction score 2 Oct 17, 2017 #1 Jamani hivi Utaratibu wa kuhama chuo kwa mwaka huu ipoje kwa anaefaham yan kutoka chuo kimoja kwenda kingne pamoja na kubadili kozi pia
Jamani hivi Utaratibu wa kuhama chuo kwa mwaka huu ipoje kwa anaefaham yan kutoka chuo kimoja kwenda kingne pamoja na kubadili kozi pia
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,360 Reaction score 21,714 Oct 17, 2017 #2 Unataka kutoka wap kwenda wapi ...kwan kama unatoka udsm kwenda tumain ni rahis sana ...🙁🙁 ila kama unatoka saut kwenda udsm utasubili sana... I
Unataka kutoka wap kwenda wapi ...kwan kama unatoka udsm kwenda tumain ni rahis sana ...🙁🙁 ila kama unatoka saut kwenda udsm utasubili sana... I
N Nelson Tryphone Lyakurwa Member Joined Jul 18, 2017 Posts 5 Reaction score 2 Oct 18, 2017 #3 Mm nahtaj kutoka ardhi -geoinformatics. Kwenda DIT/Udsm -civil engineering.
B badface_kay Member Joined Mar 4, 2017 Posts 18 Reaction score 2 Oct 18, 2017 Thread starter #4 Pain killer said: Unataka kutoka wap kwenda wapi ...kwan kama unatoka udsm kwenda tumain ni rahis sana ...🙁🙁 ila kama unatoka saut kwenda udsm utasubili sana... I Click to expand... Nataka kutoka saut mtwara kwenda mzumbe
Pain killer said: Unataka kutoka wap kwenda wapi ...kwan kama unatoka udsm kwenda tumain ni rahis sana ...🙁🙁 ila kama unatoka saut kwenda udsm utasubili sana... I Click to expand... Nataka kutoka saut mtwara kwenda mzumbe