Kwa
mm ninavyojua kwa uzoefu wangu mdogo wa miezi 2 ktk hr post ktk hz
halmash.zetu,ili mtumishi apate fursa ya kuhama ni lazima amalize hcho
kipind cha Mwaka m1 kwani kwa hapa katkat atahama vp bila hata barua ya
uthbitisho kazini?kiutaratibu umalize huo mda then unathbitshwa ndo unaanza michakato ya kuomba huo uhamisho,may be uwe unahamia same region haisumbui sana ila kama unatoka nje ndo isu.