kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali

kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali

Nilikuwa napenda kujua kama Kuna uwezano wa mtu kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali kwa ngazi ya cheti kada ya afya.naomba usaidizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekan ila kwa urahis zaidi uwe umefanya paper ya nacte pale ukiwa huna sup wala incomplete ni rahisi lakini kuhama katikati ya semister ni ngumu..
Kitu cha kufanya anza kwanza kuwasiliana na chuo unachotaka kwenda wao wakikwambia nafasi ipo watakupa barua then utaenda nayo kwa mkuu wako wa chuo na yeye atasaini na utapewa matokeo yako pia unaandika barua yako Ukijielez kwanini unahama baada ya hapo utapeleka barua zote tatu wizara ya afya wao ndo watakuhamisha kwa kukupa barua ambayo Utapelek chuo unachoenda na mchezo utakuwa umekwisha

#Angalizo kuhama ni bure usitoe Pes yoyote kwa mtu yeyote Asante kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom