MZEE WA USSOKE
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 42
Sixgate nimekupata hoja zako ni za msingi sana na nimezipenda,tatizo langu ni kwamba,mtu anapohama anasema alikosea je?wakati anajiunga na hicho chama hakusoma sera zao,?Dhana ya kuhama chama na kwenda chama kingine ni rahisi, zipo sababu nyingi lakini nikifata principle za kujadili hii dhana ntakujibu kuwa mtu anahama kwenda kwenye chama ambacho anavutiwa na SERA ikijumuisha tunu,malengo,falsafa,itikadi zake..katika jibu rahisi jingine ni kwamba chama alichohama ameona nlivyotaja eitha havipo. Wapo wanaohama kwa sababu ya kukimbia migogoro, wapo wanaoenda kutafuta nyadhifa waendako, wapo wanaoenda kutafuta maslahi ya kifedha na vingine viiingi sana..KUHUSU KUPONDA VYAMA WANAVYOTOKEA sio kweli wote huponda kuna viongozi waliopo CDM waliondoka TLP, wengine walihama toka NCCR lakini sikuwahi kuwasikia wakiponda hivyo vyama...labda kuponda huja katika dhana ya vyama vikuu vya upinzani kati ya kilichoshika Dola na ambacho kinawania dola..hapa mtu anapokua amehama chama kuhusu kuponda chama alichotokea jibu linakua rahisi tu kwamba hivi vinakua vyama vya upinzani, mahusiano yao ni upinzani tuu hivyo basi lazma pawe na propaganda kuhakikisha unakidhoofisha opponent wako.. 2010 wakati wa kuomba kura kwa wananchi Nliwahi kumsikia kiongozi wa CDM akisema "watu wanauliza ivi kwanini katika mikutano ya CDM huwa tunaiponda sana CCM?" Akajibu akisema.."Kwa sababu CCM ndie adui wa maendeleo, hata ukiwa unasali katikati ya sala huwa tunamlaani shetani sababu yeye ndie anatutia dhambini, hamna namna unaweza kusali bila kumlaani shetwani"...
Kafulila alifukuzwa CDM akalaumu CDM ni mbaya sana. Alipojiunga NCCR alimkuta Mbatia hana kasoro wakashirikiana na kufanya kazi pmoja. Baadaye akagundua anaharufu ya UCCM!.. akapanga njama za kumng'oa ikashindikana, sasa ni mbunge wa MAHAKAMA!...
TAYADI,mchango wako umenibariki sana,unaonyesha ulivyo elewa hoja yangu,
sasa watu wa namna hii tuwaite wanasiasa au WATANGA NA NJIA WA KISIASA
watu wanahama dini sembuse chama bwana wee vipi!
Una uhakika nilifukuzwa??wewe ukuhama chadema uk,ila uliwekwa na ccm na tukakushtukia ,tukakutimua ,kwa hiyo hukuhama chama ,ulifukuzwa sawa mr lukosi
vipi ikitokea Silaa akahamia tena CCMDhana ya kuhama chama na kwenda chama kingine ni rahisi, zipo sababu nyingi lakini nikifata principle za kujadili hii dhana ntakujibu kuwa mtu anahama kwenda kwenye chama ambacho anavutiwa na SERA ikijumuisha tunu,malengo,falsafa,itikadi zake..katika jibu rahisi jingine ni kwamba chama alichohama ameona nlivyotaja eitha havipo. Wapo wanaohama kwa sababu ya kukimbia migogoro, wapo wanaoenda kutafuta nyadhifa waendako, wapo wanaoenda kutafuta maslahi ya kifedha na vingine viiingi sana..KUHUSU KUPONDA VYAMA WANAVYOTOKEA sio kweli wote huponda kuna viongozi waliopo CDM waliondoka TLP, wengine walihama toka NCCR lakini sikuwahi kuwasikia wakiponda hivyo vyama...labda kuponda huja katika dhana ya vyama vikuu vya upinzani kati ya kilichoshika Dola na ambacho kinawania dola..hapa mtu anapokua amehama chama kuhusu kuponda chama alichotokea jibu linakua rahisi tu kwamba hivi vinakua vyama vya upinzani, mahusiano yao ni upinzani tuu hivyo basi lazma pawe na propaganda kuhakikisha unakidhoofisha opponent wako.. 2010 wakati wa kuomba kura kwa wananchi Nliwahi kumsikia kiongozi wa CDM akisema "watu wanauliza ivi kwanini katika mikutano ya CDM huwa tunaiponda sana CCM?" Akajibu akisema.."Kwa sababu CCM ndie adui wa maendeleo, hata ukiwa unasali katikati ya sala huwa tunamlaani shetani sababu yeye ndie anatutia dhambini, hamna namna unaweza kusali bila kumlaani shetwani"...
Hoja hii inatakiwa kujibiwa na wafuataoSixgate nimekupata hoja zako ni za msingi sana na nimezipenda,tatizo langu ni kwamba,mtu anapohama anasema alikosea je?wakati anajiunga na hicho chama hakusoma sera zao,?
na jambo la pili ni kwamba kiongozi mzuri siyo anayekimbia matatizo,sifa ya kiongozi mzuri ni yule anayepambana na changamoto zilizopo ndani na nje ya chama chake
kwasababu huko anakoenda atakutana na changamoto nako atakimbia? TUJADILI