Akaunti yangu ya Facebook imehakiwa (Hacked), ingawa mimi siyo maarufu ila nina friends zaidi ya elfu 4 na nimejiunga kwenye pages na groups mbalimbali za ndani na nje ya nchi, ambapo nilikuwa natumia kutangaza biashara za hapa na pale, pamoja na kuburudika na nilipokuwa nataka mambo sirias sirias nakuja huku Jamii Forum.
Kwa sasa siwezi kufanya chochote katika akaunti yangu na hata wahusika wa Facebook hawana msaada wowote kwa sababu hawana direct contacts zaidi ya zile(help tips) zilizosetiwa ambazo zimeshindwa kunitatulia tatizo langu.
Tatizo langu ni kwamba, haka(hacker) ka-hack akaunti yangu na kufuta email na namba yangu ya simu ambazo nilitumia kufungulia akunti yangu. Kwahiyo, ninashindwa ku-recover password kwa sababu facebook haitambui email wala namba ya simu kwa sababu vimeondolewa kwenye akaunti yangu na jamaa kaweka email yake. Mimi nilitumia gmail, ila kwa sasa verification code inatumwa kwenye hotmail ambayo haka kaiweka baada ya kuondoa yangu. Hiyo hotmail inaoenekana herufi chache kama inavyokuwaga. Mfano "s.........a@hotmail.com
Nikajaribu kusachi kwa majina akaunti yangu ya Facebook inaonekana ila ndiyo hivyo nikiweka email au namba ya simu ili ni-recover password, verification code zinaenda kwenye hotmail ya haka (Hacker).
Nilipoona inagoma nikaenda kwenye email niliyosajilia, nikakuta notifications kwamba, email na namba za simu katika Facebook vimeondolewa location ikiwa ni Netherlands, na mpaka IP adress imeoneshwa kasoro mtu aliyefanya hivyo.
Nikajaribu kuvuta kumbukumbu, inawezekana nili-click links ambazo ndizo zimeiba taarifa zangu za siri kuhusu akaunti yangu.
Suluhisho pekee la kurudisha akunti yangu ni kwa Facebook ku-reverse akaunti ya awali na kunitumia verification code. Maelezo ya ku-reverse email yapo katika "help tips" za Facebook lakini hakuna sehemu ya kubonyeza ili wali-reverse akunti ya awali.
Kwa udhaifu huu wa kushindwa ku-reverse email ya awali, naona mtandao wa Facebook si salama kabisa, kwa sababu nilipo-search google nimekutana na watu kadhaa wanalalamika wamehakiwa na kuondolewa email na namba zao za simu, hivyo inakuwa ngumu ku-recover akaunti zao kwa sababu hawawezi kupata verification code.