Kugongewa mke inauma sana

Mme wng alikuwa anatembea na mke wa mtu cku hajaniona anaongea kwenye cm na huo michepuko wanamkandia jamaa kuwa Hana nguvu Wala hajui kutombeeeeer na mme wng akawa anaamin anajiona ye ndo mtombaji Bora.......niliwadharau Sana aiseeeee!!!!
 
Acha kabisa yaan mkuu ukiweza wewe fanya uwezavyo Ila mwanamke akienda kugongwa nje anagawa kila kitu hata kile ambacho hua hakupi, ushahidi ninao
Anamnyima mumewe akijua anamuheshimu pia mahusia ya mashangaz mashost na ndg. Kwamba ukimpa huko itakuwa ndio tiket ya moja kwa moja.

Pia hatokueshim na ndoa haitadumu. Ila nje anatoa akijua hata asipomweshim sawa pia hawez na hana haki ya kupata kila ck.
 
Mtu mwili wake.
Kinachosuguliwa chase.
Unamuhangaikia khaa,piga chini fastaa tamaa zako hamishia kwenye pesaa
 
Mme wng alikuwa anatembea na mke wa mtu cku hajaniona anaongea kwenye cm na huo michepuko wanamkandia jamaa kuwa Hana nguvu Wala hajui kutombeeeeer na mme wng akawa anaamin anajiona ye ndo mtombaji Bora.......niliwadharau Sana aiseeeee!!!!
Hii post yako NIMEIELEWA sanaaaa

#YNWA
 
Ndio, kugongewa mke kunauma, pole sana,lakini naomba nikuambie ukweli ambao naamini hutapenda kuusikia.

Kugongewa mke ni dalili ya laana katika maisha yako,so checkout,inaelekea maisha yako na wewe hayana Mungu,kwa maana kwamba upo uovu katika maisha yako.Mrudie Mungu,and all will be well.

Wanadamu tuko wepesi sana kunyooshea wenzetu vidole,wakati sisi wenyewe maisha yetu ni ya hovyo,we must change.Tunasahau kwamba unapomnyooshea mwenzio kidole kimoja,vinne vinakuelekea wewe.

Mkeo hana ulinzi wa Mungu,ndio maana anagongwa,mrudieni Mungu, ili mpate ulinzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…