Nikiona mwanaume kaguswa panapouma nafurahi😀😀😀Kugongewa ni zaidi ya bomu la nyuklia. Usikiage tu usiombe yakukute.
Kwani wale waliosema "We tafta hela tu" vipi wanasemaje?Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpenini haridhiki... Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana.. kikubwa ni kuomba tuu Mungu usigongewe mke cz inauma sana na mke anauma sana aisee najua maomivu yake mimi eti.. Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
Nb..mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti ni samehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Kwenye kikao tulikubaliana kuwa kugongewa ni siri ya ndani..!! Iweje uiseme hadharani.!!??Habari za wakati huu ni mbaya..
Mimi nacho jua wanawake hawaridhiki kabisa hata umpenini haridhiki... Ushahidi ni mimi mwenyewe na usipo kua makini atakuliza sana.. kikubwa ni kuomba tuu Mungu usigongewe mke cz inauma sana na mke anauma sana aisee najua maomivu yake mimi eti.. Na kingine hata ikitokea umegongewa mkeo omba usijue na ikitokea umejua omba nguvu ya kuhimili hayo maana ni mbaya sana unaweza ukawa kichaa kwa muda au ukauwa kama una moyo mwepesi
Nb..mwanamke anagongwa huko nje alafu anakuja kukuambia eti ni samehe ni tamaa zangu tuu za kimwili. Kweli wanawake tuoneeni huruma wanaume tumebaki wachache sana
Why? Au wewe mgongwaji maarufu?Nikiona mwanaume kaguswa panapouma nafurahi😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoma ngumu hio, hata baunsa analegea akiskia kagongewa.Nikiona mwanaume kaguswa panapouma nafurahi😀😀😀
WanakkujaNikiona mwanaume kaguswa panapouma nafurahi😀😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ngoma ngumu hio, hata baunsa analegea akiskia kagongewa.