Una matatizo ya kuelewa au vipi? nimetumia kiswahili chepesi mno kufafanua, huyo mama kwanza ni mjaluo .yeye ni mkenya amezaliwa Kenya akalelewa Kenya afu akaomba uraia marekani ,uraia wake wa kwanza ndio wakikenya ule wa pili ndio wamarekani ,ingekua amezaliwa marekani akaja kuomba uraia Kenya basi yeye hangekubaliwa kufanya kazi kwa IEBC.