Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
Ha ha ha kwani wale jamaa wana wachezJi gani?
Popa mkuuGoal la tanzania limefungwa na nani?
dk 75 Chad 0-1 Tz
15 mins to be played +some additional minutes
kuingia kwa David Mwantika kunaonyesha kuwa plan ya game imebadilika....kwa sasa priority itakuwa ni kulinda ushindi uliopatikana ila kama nafasi ikipatikana basi linaweza likafungwa goli lingineWaongeze goli la pili basi, dah!
Umeona ee.. Kigoli kimoja ni presha tupu..Waongeze goli la pili basi, dah!