R Raymor wa Jublea Member Joined Mar 3, 2017 Posts 14 Reaction score 6 Mar 22, 2017 #1 Et jaman imetangazwa kufutwa comb ya cbg na pgm?
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,262 Reaction score 4,470 Mar 25, 2017 #2 Hayo nimeanza kusikia tangu nipo Form1 ila mpaka nimemaliza Advance na sasa nipo Chuo... Kiufupi haziwezi kufutwa labda tu waongeze zingine...
Hayo nimeanza kusikia tangu nipo Form1 ila mpaka nimemaliza Advance na sasa nipo Chuo... Kiufupi haziwezi kufutwa labda tu waongeze zingine...