kwa algorithms zao za hii may 2022!? kwamba ubadilishe tu mastercard deni limefutika? nitakuwa wa mwisho kueleweshwa, kisha wizi sio mzuri lipa pesa ya watu kabla hujaja kuitapika ubalozini.Naomba kujulishwa jins ya kufuta deni Instagram ,kuna watu unawalipa nusu ya deni kisha wanakusaidia kufuta ,naomba kuelekezwa Kwa mwenye uelewa niweze futa mwenyewe
Haha mkuu deni tulifanikiwa kulifuta Kwa kubadili ad accountkwa algorithms zao za hii may 2022!? kwamba ubadilishe tu mastercard deni limefutika? nitakuwa wa mwisho kueleweshwa, kisha wizi sio mzuri lipa pesa ya watu kabla hujaja kuitapika ubalozini.
BiasharaMnalipia nini huko instagharama?
Mfano?Biashara
mmh haya.Haha mkuu deni tulifanikiwa kulifuta Kwa kubadili ad account
Naomba kujulishwa jins ya kufuta deni Instagram ,kuna watu unawalipa nusu ya deni kisha wanakusaidia kufuta ,naomba kuelekezwa Kwa mwenye uelewa niweze futa mwenyewe
Mwambie ukweli tu hufuti deni bali unamuongezea deni kwa kutengeneza ad account nyingine acha ujanja ujanja pumbavuuuu.Mimi nafuta upo wapi nichek whatsapp 0692350367 mafunzo n physical tunaonana unalipia nakufutia uwe na laptop tu
Mwambie ukweli tu hufuti deni bali unamuongezea deni kwa kutengeneza ad account nyingine acha ujanja ujanja pumbavuuuu.
Haiwezekani kwa kweli.dawa ni kulipa tu denikwa algorithms zao za hii may 2022!? kwamba ubadilishe tu mastercard deni limefutika? nitakuwa wa mwisho kueleweshwa, kisha wizi sio mzuri lipa pesa ya watu kabla hujaja kuitapika ubalozini.
kweli kabisa, na wewe unafanya kazi huko?.Haiwezekani kwa kweli.dawa ni kulipa tu deni
Soma vizuri nilichoandika hapo kwahiyo kuongeza Ad Account ndo umefuta deni hapo huku ile Ad Account yenye deni ikiendelea kudaiwa.Ujanja upo wapi sasa
Inawezekana sema ww hujui ...tulishafuta nlijifunza ni rahis sanaHaiwezekani kwa kweli.dawa ni kulipa tu deni