KUFURI Vs FUNGUO

Comment iliyonichekesha...
Eti kufuli wakati linaingiziwa funguo huwa limekaa tu....
 
hii picha ina maana nyingi sana..acha ninyamaze maana ban yawezanifata

Hahahahaaaa katika maisha yetu ya kila siku kuna vitu vingi sana vina shabiiana na hii kitu, kama vile kizibo cha peni na peni yenyewe, kinu na mche, simu na charger, kikombe na kijiko, kichwa cha semi trailer na trailer lake, cable za computer huwa zina male na female etc!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…