Kuna hoja ndani yake! Kofuli hufungia kitu ili kiwe salama kisichukuliwe na mtu. Ufunguo hufungua kofuli ili kilichofungiwa kipatikane. Kofuli litafungia mikataba na vinginevyo kwa hiyo wananchi wataendelea kulizwa. Ufunguo utaweka mambo yote wazi kwa manufaa ya wote.
Kila Watanzania tunapojitahidi kuchonga funguo sahihi za kufuli,kuna wajanja wachache wapo busy wanabadili kufuli...HATUKUBALI ni lazima sasa tufungue ama tuvunje KUFULI.