Kufurahisha mwanamke Katika Ngono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufurahisha mwanamke Katika Ngono

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nhassall, Sep 28, 2012.

 1. n

  nhassall Senior Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WATU wengi (hasa baadhi ya wanaume) ama hawajui au hawajalini kitu gani wenza/mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua(Turn on) hata kama amechoka sana.
  Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi zaKiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kamawenza/Mwenza wake yuko tayari au la!.
  Mf: Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambao niwakubwa kiumri (wa zamani), au wale ambao wanathamini sana jadi zao asiliandani ya Afrika, kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni “njoohapa" au "vua nguo basi” na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewehujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya usowako.......halafu watu mnashangaa kuambiwa "mume wangu alinibaka".
  Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaumewanavyojipendelea(wabinafsi), na mara zote huweka akilini mwao kuwawanawake/mwanamke ni chombo cha kumridhisha / kumstarehesha/ kumfurahisha nakumliwaza yeye “mwanaume”.
  Napenda kusema kuwa mwanamke kama mwanadamu pia anahaki yakuridhishwa, kustareheshwa, kufurahishwa na kuliwazwa pia.
  Dhana hiyo potofu imepelekea baadhi ya makabila kuendelezamila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo (mwali) na kuwafundishajinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi “ hao wana bahati”.
  Lakini kwa wale ambao hawafuati/hawana/hawazijui mila hizowamekuwa wakifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye “Video”ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.
  Inasikitisha sana kuona pia baadhi hufuatilia hatua kwahatua kila kinachoandikwa kwenye Magazeti na baadhi yao huamua kutafuta“Kungwi” na kulipishwa ili wapatiwe ujuzi wa kufanya mapenzi ili kuwaridhishawapenzi wao.
  Ninavyofahamu mimi ni kuwa , ujuzi, utundu katika kufanyamapenzi haufundishwi hata kidogo ila ni
  -ubunifu wako,
  -kujaribu,
  -kuujua mwili wako na wa mpenzi wako,
  -ufurahiaji wa mwili wako,
  -kujiamini kwako,
  -uwazi na ushirikiano wa mpenzi wako.
  Ni vema jadi ikabadilishwa na swala zima lakufundishwa/fundwa liwe kwa jinsia zote mbili. Wake kwa waume wafundishe jinsiya kuridhishana, jinsi ya kufurahia na yale mambo muhimu ya mahusiano yakimapenzi iwe ni ndoa au mahusiano ya kudumu nje ya ndoa.
  Pia ni vizuri utambue kuwa unapoamua kufanya tendo la Ndoaau Ngono ni vyema ukajua mahitaji ya mwenzio iwe mwanaume/mwanamke, jaribukufamnyia Mwenza wako kitu/vitu tofauti na alivyokuwa akitarajia/alivyozoea nivizuri zaidi na kutamfanya aendelee kuwa na hamu ya kuwa na wewe kwa muda mrefu“usipigwe kibuti” kwa vile unamjulia.....yaani unajua vipele vilipo naunavikuna vilivyo.
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Ngoja nisitirirke, nimezee na apple maltizer BARIDIIII! Ila haya yawahusu zaidi wenzetu wa BARA huko, sie wa pwani, twafahamika kuwa haya mambo ndio talent na hobby zetu! KUMNEMA MWALI, NGOMA, JANDO, MIDUNDIKO na VIGODORO vote hivo kumfunza mtu mmoja huyo huyo, ukiona mtu wa pwani keshindikana, huyo tena baaaaaaas!!!!!
   
 3. m

  maisara Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mapenzi ni hisia hasa kwa ss wanawake hata umuandaeje mwanamke kama hana hisia na ww kwa wakati huo ni kazi bure. ndo maana unakuta mwanamke analamika eti mume wangu hanifikishi atakufikisha vp na huku ww ule muda wa majambozi unawaza lile gauni uloliona dukani jioni utalipataje.
   
 4. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nani kakwambia mwanamke anafurahia ngono? Wanawake wanapenda hela zaidi kuliko kufika kileleni
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hahahahah tunawavumiliaga sana nyie unakuta dume halijui kitu badala kiuno kicheze mwili mzima unacheza kama gari la taka bana ,unajinyamazia likojoe basi ila wengi wetu tunavumilia
   
 6. n

  nhassall Senior Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli kabisa au mwanaume anawaza lile dili lake halikufanikiwa saa ngapi atafurahia mapenzi? ni pale tu hisia zake akiziweka kwenye hilo tendo
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  khaaa......mwenzio kimenishinda....sijui kwa sababu nimezoea castle light.......
   
 8. piper

  piper JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Somo zuri, maandalizi muhimu mambo ya rara chini nikurenge hayana nafasi.
   
 9. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Si unajua kipya hakinyemi shosti, lazima nijikaze ninywe ninywe sababu ndo CATALOG mjini atiii! Casttle ya WASOMI hiyo upo JUUU!
   
 10. Msingida

  Msingida JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 3,665
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  wapi wewe?madawa mnayo kula ya uzazi wa mpago inawafanya mkose ham,bora joka limezama shimoni mtu akate kiu maana wadada hamna hamu kabisa
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmh, mie mdogo acha nipite.
   
 12. mak89

  mak89 JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 974
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 80
  Try me
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sikuwahi kufikiri kama wewe ni she aisee..lol
  Samahani kama ntakuwa nimekuoffend!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mtego mzuri huo kwa mabinti utawapata tu,fungua sredi ya kutafuta demu!
   
 15. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Kwani nawe si huwa wamalizana na wadogo wenzako Konnie?
   
 17. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hahahahahah SnowBall tulia kimya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nimetulia mzazi..mzima lakini?
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, wadogo wanatulia tu kama chatu aliyemeza mbuzi.

  Hapa nina kaunter book nachukua notisi.

   
 20. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  SnowBall nimekumis sana nanikwasababu hunifahamu ila baada ya tr8-10 ntakuambia kitu hahahahah
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...