Kufungua shule/kuanzisha shule.

Kufungua shule/kuanzisha shule.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,931
Reaction score
2,141
Mimi ni mwalimu niliehitimu mwaka huu, ninampango wa kufungua shule yangu binafsi au kama kuna mtu anahitaji tufanye wote karibu sana.

Naomba msaada kwa anayejua mambo muhimu yanayotakiwa ili shule iweze kusajiliwa na wizara ya elimu.
 
nenda wizara ya elimu kuna vitabu vya miongozo watakupa bure kama upo mbali na Dar nenda wilayani kamwomne afisa elimu atakusaidia


wazo lako ni zuri ila unaeza kunitafta tukaunganisha mawazo ili shule yako iwe kama Kaizirege
 
Ulifanikisha mpango wako?
Nimepo huku mwishoni mwa nchi,michakato ya kibongo imekuwa mireeefu mpaka kukatisha tamaaa,ila bado nnaendelea kukomaa ktk idea na uandishi wa proposal za hapa na pale.
 
Nenda ofisi za elimu wilaya au wizarani kabisa watakupa miongozo na vijitabu vitavyokuongoza kufungua shule yako. Mdhamin ni muhmu sana na linaweza kuwa kanisa mfano lutheran, RC n.k au shirka lolote lile lisilo la kiselikar. Kwa maelezo zaidi njoo inbox
 
Nimepo huku mwishoni mwa nchi,michakato ya kibongo imekuwa mireeefu mpaka kukatisha tamaaa,ila bado nnaendelea kukomaa ktk idea na uandishi wa proposal za hapa na pale.

Upo wapi huko?
Kama una mtaji unaweza kujipanga mdogo mdogo kwa kutafuta eneo halafu utatafuta wabia
 
Nina wazo kama lako japo mm nataka nifungue ya pre primary and primary, na nitaijenga kwa gharama ndogo saanaaa , nimemtuma partner aende kuulizia huko maofisini ili nipate pa kuanzia
 
Back
Top Bottom