Kufungua router/modem iliyofungwa.

Kufungua router/modem iliyofungwa.

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Nina modem/router model Zyxel ya adsl yenye uwezo wa kutumia pia 3G modem lakini imekuwa locked. Je kuna mtaalamu ambaye anaweza kuifungua ili nitumie 3G Modem ya operator yeyote?
 
Njia pekee ni ku reload firmware; Ingia Google search how to reload firmare on zyxel. Uta download Firware. Ukisha reload itakuwa kama mpya so uta configure according to your requirement.
 
Asante Mkuu, ngoja nijaribu, ingawa mimi si mtaalam wa mambo haya.
 
Wakuu habari zenu, nina tatizo la hii router, D-Link DWR 730 inakuwa haiunganishi internet, mwenye ujuzi nazo naomba msaada

IMG_20211002_171713.jpg
 
Back
Top Bottom