Hey wana Jf naomba kujua jinsi ya kufungua personal website. Naiitaji sana kwa ajili ya kuweka na kutunza data zangu maana nimepoteza data zangu nyingi za muhimu need help plz
Kama una data unataka kutunza online kwa nini ufungue website?? Services kama dropbox, google drive na nyingine kibao, zote zipo kwa ajili ya kutunza data online....
Hey wana Jf naomba kujua jinsi ya kufungua personal website. Naiitaji sana kwa ajili ya kuweka na kutunza data zangu maana nimepoteza data zangu nyingi za muhimu need help plz
kama alivyosema mkuu dresson4 huna haja ya kufungua website. cha muhimu fungua free account ya dropbox utapata 2GB kama unataka space zaidi ndio utalipia upate zaidi ya 2GB.
pia google drive nayo wanakupa takribani 20GB for free na ukitaka space zaidi ndio utalipia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.