Kufungua kampuni ya usafi

Kufungua kampuni ya usafi

gentlemanx

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
2,375
Reaction score
7,217
Wana JF habari zenu?

Mimi ni mhitimu wa chuo, kazi imekuwa shida sana kupata. Nataka nifungue kampuni ya usafi na kusupply, najua kwa kiasi chake.

Msaada wowote kutoka kwenu ntashukuru!
 
nitafute tushirikiane mimi nitahusika na wafanyakazi
 
Wana JF habari zenu?

Mimi ni mhitimu wa chuo, kazi imekuwa shida sana kupata. Nataka nifungue kampuni ya usafi na kusupply, najua kwa kiasi chake.

Msaada wowote kutoka kwenu ntashukuru!
Iyo idea yako ni nzuri sana,sema zina fitina sana izo kazi za kuomba tenda kwenye maofisi,
 
Hiyo kazi inahitaji energy ya kutosha na pia uwe fit kiafya. Msaada zaidi zama google kabla hujachukua hatua zaidi
 
Nilifanya kazi kwenye kampuni inayohusika na mambo hayo,so uzoefu ninao wa kutosha,ni kweli mwanzo always ni mgumu,but hakuna kukubali kushindwa,
 
Back
Top Bottom