Habarin wakuu,
Hiv mtu mwenye basic technician certificate in medical laboratory science anaweza kufungua maabara na akaoperate?
Je, taratibu zake zipoje?
Msaada wa maoni na experience yenu.
Nikiwa na diploma je? Nitakuw msimamiz na mmiliki pia?Unawaza ukafungua lakini lazima utafute mtu atakayeisimamia awe na diploma au zaidi.
Msimamizi atafanya registration na utakuwa unamlipa kutoka na na makubaliano yenu.
Wewe utabaki kuwa mmiliki tu
Yeah inawezekana,ila uwe na Leseni ya kudumu..na upatikanaji wa hyo leseni sasa mpka ukafanye mitihani ya bodi na ufaulu.Nikiwa na diploma je? Nitakuw msimamiz na mmiliki pia?
Msimamizi unatakiwa uwe na ngazi kuanzia diploma na uwe unaend kutoa huduma si chini ya Mara 3 Ila unawez muajir mtu wa certificate akakaa Apo...na leseni ya bodi uwe nayo na leseni ya biashara pia ukate,mtaji wako kununulia vifaa vya kazi,uwe na eneo sahihi lenye vyumba si chin ya viwili, sehemu ya kuchomea taka n.kNikiwa na diploma je? Nitakuw msimamiz na mmiliki pia?
Kwa pharm technician mwenye basic technician certificate anaweza kuuza duka la dawa muhimu bila cheti Cha mfamasia?Kifupi diploma in medical laboratory science, ni ngazi nzur ya kuanzia kumiliki na kuoparate maabara, japo kua certificate in medical laboratory inaweza kuanzisha ila kuoparate Inakua ngum labda uzoefu utumike
Anaweza kuuza ila ni vyema awe na cheti Ili kusiwe Na shda NdogondgoKwa pharm technician mwenye basic technician certificate anaweza kuuza duka la dawa muhimu bila cheti Cha mfamasia?
Hapa umechanganya madesa, pharm tech ni diploma, basic ni dispenser, certificate ni pharm assist,Kwa pharm technician mwenye basic technician certificate anaweza kuuza duka la dawa muhimu bila cheti Cha mfamasia?
Yan nilikuw namaanisha kwamb akiwa ana taka aoperate duka la dawa lazima kuwe na Chet Cha mfamasia i.e mwenye degreeHapa umechanganya madesa, pharm tech ni diploma, basic ni dispenser, certificate ni pharm assist,
N:B wote wanauza akiwa na leseni,
sasa umesema cheti cha mfamasia ulimanisha nn ?
Kama ni pharmacy ni lazima na sio ombi kisheria ndo atakuwa anasimamia.Yan nilikuw namaanisha kwamb akiwa ana taka aoperate duka la dawa lazima kuwe na Chet Cha mfamasia i.e mwenye degree