Kufungua Fursa mpya

Kufungua Fursa mpya

hamibenz

Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
44
Reaction score
15
Nimepata wazo, ndugu zangu, kama kijana una elimu fulani, mfano degree, kama unauwezo bs endelea kusoma cz kule utakutana na watu wepya unaweza kufungua fursa mpya.
Kazi za kuitwa kwenye interview watu 500 anatakiwa mmoja ni kucheza kamari tu, kazi upate mtu akwambie lete CV so kila ukiongeza marafiki ktk elimu ndo unazidi kujifungulia.
Natanguliza shukrani
 
Nipigie 0692470547/0658276181
 
Back
Top Bottom