CRDB Bank Plc wanafungua kwa namba ya NIDA pekee bila kuhitajika kitambulisho chenyewe. Vilevile unaweza kujifungulia akaunti ya Crdb mwenyewe bila kuhitaji kufika bank au kutembelewa na afisa wa Bank.Kwa kutumia smartphone ingia google playstore au ios store download simbanking apk. After installation, fungua app chagua option ya sina akaunti then fuata maelekezo.