Kufungua akaunti benki

Kufungua akaunti benki

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Wandugu habari za mchana hivi kuna benki yeyote inayokubali kufungua akaunti kwa namba ya nida maana mimi nina namba ya nida tu sina kitambulisho chochote wala leseni

Msaada hapo wakuu
 
Nmb wanafungua kama una namba ya NIDA nenda wataprint copy ya kitambukisho chako kupitia hiyo namba yako ya NIDA then utaendelea kama kawaida
 
Wandugu habari za mchana hivi kuna benki yeyote inayokubali kufungua akaunti kwa namba ya nida maana mimi nina namba ya nida tu sina kitambulisho chochote wala leseni

Msaada hapo wakuu

CRDB Bank Plc wanafungua kwa namba ya NIDA pekee bila kuhitajika kitambulisho chenyewe. Vilevile unaweza kujifungulia akaunti ya Crdb mwenyewe bila kuhitaji kufika bank au kutembelewa na afisa wa Bank.Kwa kutumia smartphone ingia google playstore au ios store download simbanking apk. After installation, fungua app chagua option ya sina akaunti then fuata maelekezo.
 
Simbakig iligoma
 
Back
Top Bottom