Poleni na shughuli Wana jamiiforum nlikuwa naomba kujulishwa,nlikuwa najishauri nifungue a/c kwenye benki gan,nimeangalia web ya nbc,crdb ,crdb kuna scholar a/c na nbc cjajua vizuri,nlikuwa nahitaji saving yakawaida kama scholar a/c.je requirement zake nifanyeje,na minimal opening balance zikoje,kwa mf scholar ac.?