M mariam1111 New Member Joined Nov 24, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Jan 31, 2024 #1 Habari nianzie wapi nimeibiwa simu ndogo kwenye mwendokasi sasa nikaenda kurenue line imenigomea naambiwa namba ya NIDA imezuiliwa wakajaribu kusajili line mpya imegoma pia Naomba uzoefu shida ni nini
Habari nianzie wapi nimeibiwa simu ndogo kwenye mwendokasi sasa nikaenda kurenue line imenigomea naambiwa namba ya NIDA imezuiliwa wakajaribu kusajili line mpya imegoma pia Naomba uzoefu shida ni nini
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,218 Reaction score 41,803 Jan 31, 2024 #2 Hiyo simu ilivyoibiwa ulifunga line? Kama haukuifunga wazee wa “tuma kwenye hii namba” na wanaofanana na hao waliitumia kupiga matukio.
Hiyo simu ilivyoibiwa ulifunga line? Kama haukuifunga wazee wa “tuma kwenye hii namba” na wanaofanana na hao waliitumia kupiga matukio.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,389 Reaction score 22,950 Jan 31, 2024 #3 Pole na umeibiwa Leo au Jana
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,825 Reaction score 113,410 Jan 31, 2024 #4 Pole mkuu
M mariam1111 New Member Joined Nov 24, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Jan 31, 2024 Thread starter #5 Hannah said: Hiyo simu ilivyoibiwa ulifunga line? Kama haukuifunga wazee wa “tuma kwenye hii namba” na wanaofanana na hao waliitumia kupiga matukio. Click to expand... Kwahy nafanyaje kufunguliwa
Hannah said: Hiyo simu ilivyoibiwa ulifunga line? Kama haukuifunga wazee wa “tuma kwenye hii namba” na wanaofanana na hao waliitumia kupiga matukio. Click to expand... Kwahy nafanyaje kufunguliwa
M mariam1111 New Member Joined Nov 24, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Jan 31, 2024 Thread starter #6 Juzi