Njoo TTCL mzee baba. Inategemea unataka COPPER au FIBER?
Kama ni Fiber bei ni kama ifuatavyo;
20/10 Mbps ni 55k
40/20 Mbps ni 100k
60/30 Mbps ni 150k
100/50 Mbps ni 200k
UFUNDI ni Bure na utafuatwa mpaka hapo ulipo.
KUhusu vifaa inategemea kama una haraka nunua kama unasubiria ni sawa.