BROWSEC iko fasta zaidiVPN ipi bomba
ThanksBROWSEC iko fasta zaidi
Next week maybeMbona mm naingia tuu kama kawaida?
Aisee hatari sanaaaNext week maybe
Tuombe Mungu wabatilishe maamuzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿Aisee hatari sanaaa
Mexence namuaminia...Tuombe Mungu wabatilishe maamuzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mbona mm naingia tuu kama kawaida?
[Wamekusahau bahati mbaya, ngoja waje wakubebe.]
Anahitaji support yetuMexence namuaminia...
Sasa tupaze sauti...Anahitaji support yetu
Diamond na machawa wenzake washamba siku YouTube na media nyingine wanazopatia mamilioni yao zikipigwa chini akili zitarudi, kwa sasa dikteta kaamua X na JF zipigwe chini nchi nzima, next inawezekana ni kwenu Mr Domo, ngoja muingie 18 zake ndio mtajua bidii ya kazi sio kila kitu
[Nakazia]
Kitaalamu ni swala la muda tu, Utafikiwa pia.Mbona mm vpn sina ila napeta kitaalam imekaaje
Kitaalamu ni swala la muda tu, Utafikiwa pia.
Muda utaongea