Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,268
- 14,526
Binafsi hoja na maoni ya kufungia jukwaa pendwa la JF kwangu si sawa, uhuru wa kujieleza umekandamizwa!, kimsingi hoja zinazo tolewa JF ziwe na mantiki au hazina, kisiasa au kijamii, ni hoja zinazo hitajika kuwa wazi katika jamii tunayoishi kila siku, suala la kuamini hoja au kutokuamini kama ni ya kweli au hapana ni jambo la kadamnasi yenyewe.
Binafsi sifikilii kama naweza kumshawishi mtu kuamini kile ninacho kiamini mimi, ila ninauwezo wa kumfikishia ujumbe na fikira za kichwa changu na si vinginevyo, sheria ijitafakari inatokosesha uhuru wa kutumia vyombo vya habari nchini.
Hayo ni maoni yangu binafsi.
Tunaonewa
[sana]
VeePeeeNnnn inatosha tunakaba humu humu.Twende Kenya kama kipindi kila walivyofungia... Waambieni blogers wa Kenya wajipange tunakuja huko
Twende Kenya kama kipindi kila walivyofungia... Waambieni blogers wa Kenya wajipange tunakuja huko
[Nakazia]
VPN ipi bombaVeePeeeNnnn inatosha tunakaba humu humu.
Niger x ndio nani? Kulaani inadi? Baada ya Rostuma kujitetea ndio zikaanza kutembea fimbo?Bila vipien hauiingiu huku...mama kakashifiwa sijui katukanwa jibu gani Amma anafungua innchi Ana wafungia wanainchi club house pin if pin, x Twitter Niger x
WatazizuiaVPN ipi bomba
Bila vipien hauiingiu huku...mama kakashifiwa sijui katukanwa jibu gani Amma anafungua innchi Ana wafungia wanainchi club house pin if pin, x Twitter Niger x
[/Wanawakosea wazee wetu wasio na elimu ya VPN na kwa vibogoyo walivyo navyo muda hautoshi kujifunza hiyo kitu.]
Niger x ndio nani? Kulaani inadi? Baada ya Rostuma kujitetea ndio zikaanza kutembea fimbo?
[upo sawa kabisa lost tamu ndiye katuletea mabalaa.]
Nyie mmeingiaje si pamefungwa humu
[Tulipanda panya mgongoni]