Assalamu 'alaykum wa RahmatuLLaah wa
Barakaatuh
Tumefuatilia kila pahali na hivi sasa tumepata
taarifa kwamba mwezi haukuonekana popote
duniani leo Ijumaa 29 Sha'baan 1435H
(27-06-2014). Hivyo kesho Jumamosi
tunakamilisha siku thelathini za Sha'baan, na
Jumapili (29-06-2014) In Shaa Allaah itakuwa ni
siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa
Ramadhaan.
ALHIDAAYA inawaombea Ramadhaan ya kheri na
baraka nyingi, mchume thawabu tele, Swawm
zikubaliwe, dhambi zighufuriwe, na Allaah
Atutakabalie 'amali zetu In Shaa Allaah.
From WWW.ALHIDAAYA.COM

From Alhidaaya.com
Poleni sana mnao fuata Mwezi kama kiongozi wenu. Sisi Wakristo hatufuati Mwezi bali Mungu Mkuu. Nyie endeleeni na kuabudu Mwezi.
Akili ya mashudu itawezaje kufahamu kuwa mlianza kula usiku Kwasababu mwezi uliandama. Wewe ni bure kabisa.Wapi Umeambiwa Waislam Wanaabudu Mwezi "Ewe Mgalatia Ishmael Usie Na A.k.i.l.i Nani Amekuloga?"