LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 633
SawaNaunga hoja mkono??
Naunga mkono hoja??
The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
mkuu inategemeana Kama kipato hamna tunafanye?Habari za saa hizi ndugu zangu.
Napenda niwape ushauri vijana wenzangu kabla hujakubali kuishi na mtu mpaka kufikia kuzaa nae ni vyema mkafunga ndoa kabisa kwa maana itawasaidia kupata baraka katika mahusiano yenu.
Pia inasaidia kwa upande wa watoto wenu pia.
Ni hayo tu.Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja 100% kwenye hili jambo hakuna formula sahihi kabisaHakuna fomula ya maisha au mahusiano.
Kuna watu wamefunga ndoa za dini wanaachana na kuna watu wana miaka zaidi ya 10 hawajawahi kufunga ndoa zaidi ya kutoleana mahali na wanafuraha na familia za kuigwa kabisa.
Hakuna fomula ya maisha zaidi ya watu kuhisi yanayowakuta wao yanawakuta kwasababu ya laana au mikosi hizo ni imani potofu.
Jipange maisha yanataka uwe na mtu sahihi inatosha hata mfunge ndoa au msifunge ukiwa na mtu sahihi ni amani tele
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu inategemeana Kama kipato hamna tunafanye?
Sahihi kabisaHakuna fomula ya maisha au mahusiano.
Kuna watu wamefunga ndoa za dini wanaachana na kuna watu wana miaka zaidi ya 10 hawajawahi kufunga ndoa zaidi ya kutoleana mahali na wanafuraha na familia za kuigwa kabisa.
Hakuna fomula ya maisha zaidi ya watu kuhisi yanayowakuta wao yanawakuta kwasababu ya laana au mikosi hizo ni imani potofu.
Jipange maisha yanataka uwe na mtu sahihi inatosha hata mfunge ndoa au msifunge ukiwa na mtu sahihi ni amani tele
Sent using Jamii Forums mobile app
Formula ya mahusiano ipo, kwavile hatuifuati ndio tunajipa moyo kuwa hakuna formula. Na hii ni kwasababu tunataka kujiridhisha na kuhalalisha njia zetu zisizofaa ambazo ndio zimeleta matatizo yote haya.Hakuna fomula ya maisha au mahusiano.
Kuna watu wamefunga ndoa za dini wanaachana na kuna watu wana miaka zaidi ya 10 hawajawahi kufunga ndoa zaidi ya kutoleana mahali na wanafuraha na familia za kuigwa kabisa.
Hakuna fomula ya maisha zaidi ya watu kuhisi yanayowakuta wao yanawakuta kwasababu ya laana au mikosi hizo ni imani potofu.
Jipange maisha yanataka uwe na mtu sahihi inatosha hata mfunge ndoa au msifunge ukiwa na mtu sahihi ni amani tele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna kipato ila unazaa! Unajua gharama za kulea? Hapo unakuwa unakwepa nini labda?mkuu inategemeana Kama kipato hamna tunafanye?
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Napenda niwape ushauri vijana wenzangu kabla hujakubali kuishi na mtu mpaka kufikia kuzaa nae ni vyema mkafunga ndoa kabisa kwa maana itawasaidia kupata baraka katika mahusiano yenu.
Pia inasaidia kwa upande wa watoto wenu pia.
Ni hayo tu.Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dhambi mnaiona hiyo tu ya kuishi na MTU bila ndoa? Acheni hizo mambo bhana.Ni kweli kabisa
Tena kwa sisi wakristo unakuwa blessed na unaweza kushiriki sakramenti ya meza ya bwana
Pia unajiepusha na ile dhambi ya uzinzi kwasababu inakuwa ni kitu halali
Na ni heshima kubwa sana kuwa ndani ya ndoa iliyobarikiwa
Shukurani kwa ukumbusho
kwani nyege kwako zinakuja hela?
kwani nyege kwako zinakuja hela?
Hahah kama Professor Jay ameweza mie ni nani hata nishindwe, na kwa rate ya vijana wa kileo single mother ni wengi sana. Unafikiri hata wakibahatika kuolewa wataolewa kwa misingi gani kama sio hali ya kuwa mtoto wa kwanza atakuwa bastard!Asante kwa kukumbusha..siku hizi kuskip hiyo hata na kuanzia kuishi kama mume na mke mpaka mnazaa watoto kibao bila ndoa imekua dili...tusijisahau Mungu anatuona
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Siku nyingine usiwe unaongea ukweli hivi....subiria matusi sasa wanakuja!!!Kwani bongo kuna waliofunga ndoa? Kuna Malaya tu walioigiza kufunga ndoa. Ndiyo maana michepuko.na masingo mama wamejazana sana
Waziii!Hivi dhambi mnaiona hiyo tu ya kuishi na MTU bila ndoa? Acheni hizo mambo bhana.
Naunga mkono hoja ya watu kuishi na kuzaa kwanza kabla ya ndoa. Maana unaweza funga ndoa na bi dada aliyetoa mimba kama zote halafu kwenye ndoa akawa hazai