Muungwana mmoja aliuliza ni chakula kipi kinaleta mateso makubwa kwa miaka mingi toka kiliwe akajibu KEKI YA HARUSI ndoa ili usipate mateso makubwa baada ya kula keki ya harusi mnatakiwa muwe kitu kimoja kwa kula hali,isiwe kisamvu kimezidi mtu unatoka bomba au mamsapu kapata shepu ya michellini mwanaume unakimbilia kwenye vimobitel
NDOA ZINA RAHA YAKE!
ingawa miaka miwili ya mwanzo huwa ni migumu kidogo kwa vile kila mtu anakuwa na tabia na udhaifu wake,mnahitaji muda kuzieana na KUCHUKULIANA MLIVYO!thereafter,NDOA INA RAHA YAKE BWANA

Una uhakika...??? isije ikawa mtu kaja na mabomu kaamua kuvaa kama hivyo........ Sioni chochote cha kunifanya niamini hao waliojifunika ni wanawake......teheee