Kufunga ndoa au kuoana kabla ya tendo la ndoa!!

Kufunga ndoa au kuoana kabla ya tendo la ndoa!!

Darwin

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Posts
908
Reaction score
57
Hivi nijauliza wale wanaoana na bado wako bikira itakuaje?
Siku ile unaenda fungate na mume wako au mke wako mnaanza kwa mara ya kwanza.
Unamvua mke wako chupi kwa mara ya kwanza na yeye anakuvua, mara bwana ana shughuli kama mhogo wa Jang'ombe na haupiti kwenye tundu yoyote.
Au ana kibamia kinamtia ndege tu nahakimfikishi kileneni.
Au mwanaume keshakua hoi wakati mambo ndio yanaanza kukolea kwa mwanamke itakuaje?
Itabidi muachane baada ya fungate au muendelee hivyohivyo bila kufikishana kileleni?
Mtatafuta ufumbuzi gani kuilinda ndoa yenu?
 
jidanganye,utavumilia mtakutana siku ya tukio kitanda kimoja unakuta ukirusha arrow inaenda bila wasiwasi
 
Ila usimpe tungi hadi akazima,ile anaanza kurembua tu oili unapima ili uweze tambua kama ni bwawa au kisima na kama imekaa pina ni mikasi kimyakimya _by ngwair. Kuchek vigezo na masharti ni muhmu b4 ndoa.me ntafunga ndoa nikiwa na mtoto aliyepmwa dna
 
Back
Top Bottom