Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Zipo Cheusi..............wenyewe wanakwambia mpaka kufuli zinakuwa na brand names. Mtu anamechisha Valentino kuanzia juu hadi chini, nje hadi ndani
kwa kweli ni hatari sana kununua haya mitumba ila umaskini na kuletewa vitu visivyo quality watu wanpenda kununua mitumba
mfano soksi mm nilikua mpenzi sana wa soksi sasa nilifanya fungus na usumbufu wake nnajuta
ila kwa kweli quality na durability mitumba iko juu kuliko mpya maana ukinunua mpya na mtumba na baada ya wiki tu utaona mtumba iko bomba kuliko mpya
Kwa swala la umaskini NAKATAA!!! Coz, chupi za mtumba zinauzwa 1000-2000 Tshs. Chupi mpya kkoo zinapatikana kuanzia 500 -1000 Tshs.Mtu hawezi acha chupi mpya ya sh 1000 akanunue mtumba wa 2000. Ukweli ni kwamaba chupi za mtumba ni imara zaidi na ziko kwenye chart. Sasa huwezi kwenda kkoo ukakuta chupi mpya ya 500 au 1000 ambayo ni imara au fashionable. Thats why unakuta wa2 wanakimbilia Karume! Nazungumzia kkoo coz ni shoping place ambayo almost kila mwananchi anaweza kwenda. Kwa wachache sana wenye uwezo huwa wanaenda maduka kama Cassandra na mengine ambayo bei ya chupi ni kubwa kidogo.
Ukinunua chupi ya mtumba una uwezo wa kuivaa hadi 6 months but chupi ya mchina ya sh 500 haimalizi mwezi! Ninaposema fashionable kama wewe ni mwanamke au mwanaume unayejua fashion utakuwa umenielewa, unless uniambie wewe ni padri!Hivi chupi imara ndo ipi?
Na zilokuweko kwenye fashion ni zipi?
Ukinunua chupi ya mtumba una uwezo wa kuivaa hadi 6 months but chupi ya mchina ya sh 500 haimalizi mwezi! Ninaposema fashionable kama wewe ni mwanamke au mwanaume unayejua fashion utakuwa umenielewa, unless uniambie wewe ni padri!
Nilivyozungumzia miezi sita nilikuwa nazungumza kwa watz wote coz nina uhakika asilimia 80 ya watz ni maskini. Hawana uwezo wa kununua chupi kila MWEZI. Mimi mwenyewe siwezi vaa chupi miezi 6! Lakini hiyo hainifanyi nikanunue lonya la 500 kisa sitaki kuivaa muda mrefu! Fashionable ni namna unavyoonekana unapoivaa. Am sure many girlz wants 2 look sexy in underwearz au unasemaje?Furahi umenifurahisha @unless uniambie wewe ni padri!
Sasa wewe chupi unataka kuvaa miezi sita yote hiyo ya nini? Kisha huu mtindo walionao wengi bongo wa 'kuroweka' chupi kwenye sabuni ndo kunakopelekea chupi kuchakaa upesi.
Hivi zinauchafu wa kiasi gani mpaka irowekwe?
Za fashion nauliza ndo zipi maana kuna wengine wao boy shorts kwa wanawake wanaona ndo fashion, wakati wengine wanaona za kwenda mpaka kwenye kitovu na kubana tumbo ndo mwake.
Wengine wanaona lace ndo inayotakiwa, wakati wengine wanataka plain white cotton. .........
Ndo maana nikauliza, fashionable ni zipi?
Nilivyozungumzia miezi sita nilikuwa nazungumza kwa watz wote coz nina uhakika asilimia 80 ya watz ni maskini. Hawana uwezo wa kununua chupi kila MWEZI. Mimi mwenyewe siwezi vaa chupi miezi 6! Lakini hiyo hainifanyi nikanunue lonya la 500 kisa sitaki kuivaa muda mrefu! Fashionable ni namna unavyoonekana unapoivaa. Am sure many girlz wants 2 look sexy in underwearz au unasemaje?
To look sexy si lazima uvae gstring ndugu yangu. Kuna styles nyingi za chupi unaweza kuvaa hata boxer za kike pia ni nzuri. Mimi mwenyewe sishauri gstring. Kwanza hizo gstring si wote zinawapindeza halafu hata kama si ya mtumba gstring zinachubua sometimes zinaweza kumletea m2 maradhi.Kweli urembo kazi.
Yaani mtu una hiari kununua G string ya mtumba, hujui ilivaliwa na mtu wa aina gani kwa ajili ya urembo tu.