quadbillion kid
Member
- Oct 27, 2019
- 20
- 12
Chuo gani hiki maana walinzi wa chuo wanajifanyaga wameyapatia maisha. Ningekuwa mimi naloga mtu mpaka kivuli chake
Mwambie wamrudishie karo yake mana hata angegraduate asingepata maharifa kwa hawa waindiChuo cha waindi mkuu kibamba
Kweli mkuuMwambie wamrudishie karo yake mana hata angegraduate asingepata maharifa kwa hawa waindi
Bila kupepesa macho hii ni St Joseph Mbezi LuguruniChuo gani hiki maana walinzi wa chuo wanajifanyaga wameyapatia maisha. Ningekuwa mimi naloga mtu mpaka kivuli chake
Hapo inabidi aende mtu mzima kuna jamaa walimpiga mkwala kama huo , ukienda wewe mwanafunzi wanakuwa na dharau aende mzazi maana wao chuo wanaendesha kama shule wataona aibu kumfukuza mwanafunzi kwa ajili ya kosa kama hilo.Chuo cha waindi mkuu kibamba
Kuna sehemu umeambiwa kavuta bangi? Au wavuta bangi wote hawavai vitambulisho. Sheria inataka aoneshe kitambulisho,sio akivae. Na hata kama itamlazimisha avae (ambalo nalo ni wazo la kipuuzi kulazimisha kuvaa) bado umeambiwa kilichakaa na hakiwezi valiwa. Nyinyi ni jamii ya watu wenye wivu juu ya wenzenu waliofanikiwa, ukikuta walinzi wanaringa hao afu fatilia malipo yaoHuyo mwanafunzi alienda kusoma!!! au kuvuta bangi? yaani kasoma vi cathode sijui farady law anaanza kujiona kafika na kuanza kuzarau watu wanaomlinda? angefanya kazi wapi mtu mwenye nidhamu ya hovyo namna hiyo? kwa kitendo alichokifanya yawezekana anatumia aina mbalimbali za vileo sasa mlevi aje afanye kazi za umeme ? si ataunganisha waya wa V+ na V+ ? hafai
Hivi hakuna mtu anayejua sheria akaja kutoa mwanga hapa. Kuna chuo Jumatatu wiki hii mlinzi mwnye silaha ya moto kamshika roba mwanachuo. Kisa hajavaa bwanga
Kweli kabisa mkuuKuna sehemu umeambiwa kavuta bangi? Au wavuta bangi wote hawavai vitambulisho. Sheria inataka aoneshe kitambulisho,sio akivae. Na hata kama itamlazimisha avae (ambalo nalo ni wazo la kipuuzi kulazimisha kuvaa) bado umeambiwa kilichakaa na hakiwezi valiwa. Nyinyi ni jamii ya watu wenye wivu juu ya wenzenu waliofanikiwa, ukikuta walinzi wanaringa hao afu fatilia malipo yao
Ndio mkuuBila kupepesa macho hii ni St Joseph Mbezi Luguruni
Na Dean atakua Eng Methew Ngurunguru,adeal na Dean ni mtu mwelewa sana,aachane na wahindi
Heshimuni mamlaka !!!! basi kama ni kazi yake ya ulinzi mnamdharau basi heshimuni hata umri.....sasa kashatumbuliwa chuoni awapelekee huo ujuaji wazazi wake nyumbani akawaulize kuvaa kitambulisho...kwa tarifa yako hata akienda mahakamani kuomba orders za mandamus ama certiorary kamwe hawezi kurudishwa shuleni hata akirejeshwa kwa nguvu ya mahakama hatamaliza .Kuna sehemu umeambiwa kavuta bangi? Au wavuta bangi wote hawavai vitambulisho. Sheria inataka aoneshe kitambulisho,sio akivae. Na hata kama itamlazimisha avae (ambalo nalo ni wazo la kipuuzi kulazimisha kuvaa) bado umeambiwa kilichakaa na hakiwezi valiwa. Nyinyi ni jamii ya watu wenye wivu juu ya wenzenu waliofanikiwa, ukikuta walinzi wanaringa hao afu fatilia malipo yao
Acha ujuaji wewe. Kitambulisho kimechakaa ambapo vyuo vyetu hivi wanachelewa kuvirenew sasa ulitaka akivae kivipi. Kwanza sitaki kuamini kama sheria inawaambia wasipovaa vitambulisho wanafukuzwa. Unakuta lecturer anadai "class hii mko 150, angalau nikifelisha 20 sitalaumiwa lakini mkifaulu karibia wote nitaulizwa kulikoni?". Vyuo viache kupokea watu wengi kama havitaki sio kuleta upuuzi na visheria uchwara visivyo na maana. Kulazimisha kufukuza mtu na ushachukua hela yake ni wiziHeshimuni mamlaka !!!! basi kama ni kazi yake ya ulinzi mnamdharau basi heshimuni hata umri.....sasa kashatumbuliwa chuoni awapelekee huo ujuaji wazazi wake nyumbani akawaulize kuvaa kitambulisho...kwa tarifa yako hata akienda mahakamani kuomba orders za mandamus ama certiorary kamwe hawezi kurudishwa shuleni hata akirejeshwa kwa nguvu ya mahakama hatamaliza .
Hiko chuo ni lazima kuvaa kitambulisho kila wakati ndani ya eneo la chuo, hata ukipewa kitambulisho wanakutobolea juu na mashine ili upitishe kamba ya kitambulisho.Chuo cha waindi mkuu kibamba
Hiko ni Mzumbe mimi nimeshawahi kusoma hicho chuo cha wahindi, ni tofauti na huku kwingine. Wana management mbovuDean of students, ye ana act kama mzazi wa mwanafunzi hana uhusiano wa moja kwa moja na uongozi au wahadhiri wa chuo, kwa maana yupo kutetea maslahi ya mwanafunzi, ndio maana sometimes wanaitwa mama au baba. Kulingana na maelezo hapo, huyo student anatakiwa akae vizuri na dean no way out.
Nakumbuka pindi fulani pale Mzumbe University nilizinguaga sana, sikutakiwa kuingia kwenye pepa (UE). Nkaenda kwa dean niliongea nae karibia masaa mawili hivi. Akanielewa akanizungusha maofisini kupata kibali cha kufanya pepa kwa wakuu kuanzia watu wa finance mpaka administration ndani mule. Yani ilikuwa kama ufunguo wangu. Unakuta ofisi imefungwa (muda wa kazi umeisha - walikuwa wanasema muda wa kazi umeisha) ila sura yake tu ofisi inafunguliwa.
Dean of students, wanaheshimika sana. Cha msingi ni kuongea nae vizuri aelewe somo, ikiwezekana unakuwa na mtu wa kuku backup nyuma. Check university by-laws kuhusiana na tukio kama lako linasemaje au linaloelekea mnaweza pata mbinu pale.
Asantee.
VYEKELEA MBALI AENDE MTAANI AMBAKO USIPOVAA KITAMBULISHO HAKUNA WA KUKUULIZAAcha ujuaji wewe. Kitambulisho kimechakaa ambapo vyuo vyetu hivi wanachelewa kuvirenew sasa ulitaka akivae kivipi. Kwanza sitaki kuamini kama sheria inawaambia wasipovaa vitambulisho wanafukuzwa. Unakuta lecturer anadai "class hii mko 150, angalau nikifelisha 20 sitalaumiwa lakini mkifaulu karibia wote nitaulizwa kulikoni?". Vyuo viache kupokea watu wengi kama havitaki sio kuleta upuuzi na visheria uchwara visivyo na maana. Kulazimisha kufukuza mtu na ushachukua hela yake ni wizi