Kufuga Sungura kibiashara?

Ata mimi napenda ufugaji wa sungura kibiashara ila sina elimu ya kutosha na uzoefu wajuzi watupe elimu.
 
Natafuta watoto wa sungura!!

Wawe wenye umri uliozid miezi 3

Idadi kubwa sana

Naombeni mwenye connection
 
Nyama yake inapatiakana wapi hapa daslam nije niionje, naona kama wanafanana na nyau....sijui ntaiweza kula🙄
 
Huyu member@isackmichael9 sijui kama bado yupo. Aliweka bandiko na kupotea mazima!
 
Kuna mambo mengine yanaendana na utamaduni
kwa watanganyika wengi hii kitu hawali kabisa ni wachache kabisa wanakula

niliona Uganda wanafuga kwa wingi na wana sell Dubai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…