Kufuga au duka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufuga au duka

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ILUVUG, May 9, 2011.

 1. I

  ILUVUG Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaaam wana jamii forum...nina mtaji wa sh mil 5 nina ideas kama mbili hivi je nifuge nguruwe kule shambani kisarawe au niungane na best yangu tufungue duka la nguo za watoto.

  Natumaini mtanipa ushirikiano na ushauri wa kutosha.
   
Loading...