Siku chache baada ya kufanyiwa matambiko ya kienyeji ikiwemo kupewa uchifu kinyume cha mila na desturi za kinyantuzu, sasa amefukuzwa kazi. Wengine ni Lowasa alifanyiwa matambiko bariadi alivyotoka huko alifukuzwa uwaziri mkuu. Prof. Muhongo nae alifanyiwa tambiko hilo hilo kishapu nae alivyorudi alifukuzwa uwaziri. Mbowe nae alifanyiwa tambiko kishapu lililopelekea chadema kukosa hata mbunge mmoja usukumani.